TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAHOJIANO.
WASAILIWA KUANZIA NAMBA 1 HADI 26 WANATAKIWA KUFIKA KESHO, TAREHE 30.09.2024.
WASAILIWA KUANZIA NAMBA 27 HADI 51 WANATAKIWA KUFIKA KATIKA USAILI KUANZIA TAREHE 01.10.2024.
NA WASAILIWA KUANZIA NAMBA 52 HADI 76 WANATAKIWA KUFIKA KATIKA USAILI TAREHE
MUDA WA USAILI NI SAA 1:30 ASUBUHI, KWENYE UKUMBI WA HALMASHAURI LONGIDO
NA MSAILIWA MWENYE NA. 1. AFIKE KWENYE USAILI TAREHE 30/09/2024
MUDA SAA 1:30 ASUBUHI, KWENYE UKUMBI WA HALMASHAURI LONGIDO.
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM