• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Miundombinu, Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mjjini
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Utawala na Usimamizi wa Rasimamli Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Utalii
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Leseni
    • Huduma za Utalii
    • Huduma za Mapato
    • Huduma zetu Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati ya Maadili ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Barua pepe za Idara na Vitengo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Kituo cha habari
      • Maktaba ya Picha
      • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
  • Vivutio
    • Mbuga
    • Ziwa

BARAZA LA MADIWANI LATOA ZAWADI YA KIWANJA KWA MWANAFUNZI CYNTHIA MASUKE ALIYESHINDA TUZO YA UANDISHI WA INSHA KWA NCHI ZA SADC.

Posted on: September 5th, 2019

Baraza la madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Longido  leo tarehe 05/09/2019 limempongeza  na kumzawadia mwanafunzi  Cynthia Masuke toka shule ya sekondari Longido aliyeshinda  tuzo ya uandishi wa Insha kwa nchi za SADC na kushika namba moja.

Mh.Mwenyekiti wa Halmashauri, Mh.Sabore Molloiment akimpongeza mwanafunzi huyo wakati wa kikao cha baraza kwa robo ya nne  April mpaka Juni 2019  amesema  wao kama baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Longido wanampongeza sana mwanafunzi Cynthia na   wanampatia  zawadi Tsh.500,000,/-  ikiwa pamoja na kumpatia kiwanja katika kijiji chochote kati ya Oltepes,Orbomba au Ranchi  ambapo mwanafunzi Cynthia  atachagua.

Nae Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri Mh.Esupati Ngulupa  na Baraza la madiwani na wakuu wa idara na vitengo wamempongeza mwanafunzi Cythia na wamefurahi sana kwa kuiinua Longido  na wamemkabidhi pesa taslimu za madfari kiasi cha shilingi  Tsh.400,000/=.  .

Nae kaimu afisa elimu sekondari Mwalimu  Asha Kivaju amempongeza mwanafunzi huyo  kwa kuweza kuwa mshindi wa kwanza katika mashindano ya kuandika insha ya Afrika mashariki na kati pia amewapongeza walimu akiwemo mwalimu aliyemwongoza katika uandishi huo,

Pia Mwalimu kivaju amewashukuru madiwani na hasa Mwenyekiti wa Halmashauri kwa kupendekeza mwanafunzi huyu aletwe kwenye baraza kwa ajili ya kupongezwa  vile vile mwalimu kivaju  amemtia  moyo asome kwa bidii ili aendelee kuitangaza Longido  ukizingatia ni mwanafunzi wa kidato cha sita  lakini pia awahimize wenzake kuwa na uthubutu wa kuingia katika mashindano kwani yanakuja kila mwaka.

Mwanafunzi Cythia Masuke aliyeongozana na Mwalimu  wake Mkuu mwl. Godfrey Temu ,Mwalimu wa somo la kiingereza Mwl.Lecho Mahenge na wanafunzi wenzie amewashukuru madiwani wote na kuahidi kufanya vizuri kwenye mitihani yake ya kidato cha sita lakini pia ametoa ombi kwa madiwani waendelee kuwatia moyo wanafunzi wengine watakao fanya vizuri kama yeye.

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WA UMMA April 12, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA May 15, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA June 25, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • View All

Video

MKUU WA WILAYA YA LONGIDO AUNGANA NA RC KIHONGOSI KWENYE JOGGING YA TANZANIA SAMIA CONNECT
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.