DIWANI KIMOKOUWA APITA BILA KUPINGWA.
Taarifa ya uchaguzi wa kata ya kimokouwa wilayani Longido,tarehe 03. 08. 2019 Samwel Sundi Laitayok, ameshinda kwa kishindo kikubwa nafasi ya udiwani kata ya kimokouwa, mgombea huyu aliye pendekezwa na chama cha mapinduzi CCM, ameshinda baada ya kukosekana kwa mpinzani. Hivyo msimamizi wa uchaguzi huo aliweza kumtangaza mgombea huyo kuwa ni mshidi na ambaye hajapingwa na mtu yoyote, pia ni mtu aliye kubalika na watu wote wa kata hiyo ya kimokouwa.
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM