Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Mrisho Gambo atakua na ziara na msaafara wake katika wilaya ya Longido leo tarehe 7/02/2019 katika ziara hiyo mh mkuu wa mkoa atakabidhi vitambulisho vya wafanya biashara wadogo ,pia atapokea taarifa ya ujenzi wa wa madarasa na hali ya upokeaji wa wanafunzi wa darasa la awali ,la kwanza na kidato cha kwanza.Aidha mh mkuu wa mkoa atakagua ujenzi wa hospitali ya wilaya.
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: +255 272 970 793/ 94
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.