Mkurugenzi Mtendaji na Afisaelimu Sekondari wametembelea mradi wa maji wa Oldonyomali na kujionea maendeleo yaliyofikiwa katika mradi huo. Wakiwa katika mradi huo wameona neema ya mradi huo kwa kushuhudia maji yakitoka katika bomba la kisima cha kukukusanyia maji hayo. Hii itakuwa furaha ya kudumu katika maeneo yanayo tarajiwa kuneemeka na Mradi huo.
Malengo ya Mkurugenzi Mtendaji nikuona wanachi wa Oldonyomali na wengine wananufaika na Mradi huo haraka iwezekanavyo.
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM