Na: Saumu Kweka
Katika Mkutano wa kawaida wa Baraza la Madiwani uliofanyika mapema leo,sare ya Majoho kwa Waheshimiwa Madiwani imeongeza mvuto zaidi katika Mkutano huo.
Sare hiyo yenye rangi za kuvutia za nyekundu yenye asili ya vazi la jamii ya Kimaasai imewafanya Waheshimiwa hao kuvutia zaidi katika Mkutano huo.
Pia sare hizo ziliambatana na skafu zenye rangi nzuri ya bendera ya Taifa letu yenye rangi kuu nne Bluu,Nyeusi, Kijani na Njano.
Hata hivyo,baadhi ya Madiwani wamefurahishwa na kuvutiwa na vazi hilo na kutoa maoni ya pongezi Katika Mkutano huo walipokuwa wanachangia mada zao.
Aproved by Joseph Peter Mkumbwa
AgICTO
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM