Mheshimiwa Simon Oitesoi Laizer wa kata ya Gelai Lumbwa kupitia chama cha Mapinduzi(CCM) ameibuka kidedea kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti wa Halmashauri uliofanyika leo tarehe 14/12/2020 kwenye ukumbi wa mkutano wa Halmashauri.
Mh. Oitesoi amewashukuru madiwani wote kwa kumwamini na amehaidi kufanya kazi kwa moyo wake wote ili kuleta maendeleo kwa wana Longido
Pia amewataka Wataalamu waendelee kushirikiana na madiwani katika kuitekeleza ilani ya Chama cha Mapinduzi(CCM) na kuwahudumia wananchi kwa karibu.
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM