• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Miundombinu, Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mjjini
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Utawala na Usimamizi wa Rasimamli Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Utalii
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Leseni
    • Huduma za Utalii
    • Huduma za Mapato
    • Huduma zetu Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati ya Maadili ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Barua pepe za Idara na Vitengo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Kituo cha habari
      • Maktaba ya Picha
      • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
  • Vivutio
    • Mbuga
    • Ziwa

Mh Esupati Ngulupa aibuka kidedea tena

Posted on: August 28th, 2017

Mheshimiwa Esupati Ngulupa wa chama cha MAPINDUZI  amechaguliwa tena kuwa Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Longido   baada ya kushika nafasi hiyo kwa mwaka mmoja


Mh. Esupati Ngulupa ametetea kiti chake baada ya kupata kura 14 kati ya kura 23 zilizopigwa na kumshinda mpinzani wake Mhe. Naomi Mollel diwani  viti maalum wa Chama Cha demokrasia na Maendeleo( CHADEMA ) aliyepata kura 9


Uchaguzi huo umefanyika wakati wa Mkutano Maalumu  wa Baraza la Madiwani na kufanya uchaguzi wa Makamu mwenyekiti  wa baraza hilo ambapo kisheria huchaguliwa kila baada ya mwaka mmoja.


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Longido  ndugu Jumaa Mhina amemtangaza Mh. Esupati Ngulupa ambaye ni Diwani viti maalum kuwa Makamu Mwenyekiti kwa kipindi cha mwaka mmoja baada ya kupata kura 14 na kumshinda Mhe. Naomi Mollel aliyepata kura 9 kati ya kura 23 zilizopigwa.


"Kwa mamlaka niliyopewa ninamtangaza mheshimiwa Esupati Ngulupa  kuwa Makamu Mwenyekiti aliyepata kura 14 na kumshinda mheshimiwa Naomi Mollel aliyepata kura 9 kati ya kura 23 zilizopigwa na wajumbe wa baraza la Madiwani". Amesema Mhina.


Aidha Mh.Esupati Ngulupa amewashukuru wajumbe kwa kumpa kura zilizotosha kumpa nafasi  ya Makamu Mwenyekiti wa baraza na kuahidi kufanya kazi na kila mmoja.


Kwa mujibu wa Sheria na Kanuni  za serikali za mitaa uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti wa baraza la Madiwani hufanyika kila baada ya mwaka mmoja na kufanya nafasi hiyo kugombewa kila baada ya muda huo kumalizika.

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WA UMMA April 12, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA May 15, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA June 25, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • View All

Video

MKUU WA WILAYA YA LONGIDO AUNGANA NA RC KIHONGOSI KWENYE JOGGING YA TANZANIA SAMIA CONNECT
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.