• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Miundombinu, Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mjjini
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Utawala na Usimamizi wa Rasimamli Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Utalii
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Leseni
    • Huduma za Utalii
    • Huduma za Mapato
    • Huduma zetu Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati ya Maadili ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Barua pepe za Idara na Vitengo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Kituo cha habari
      • Maktaba ya Picha
      • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
  • Vivutio
    • Mbuga
    • Ziwa

MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA MADIWANI H/W LONGIDO

Posted on: August 16th, 2017

       

Mkutano wa kawaida wa baraza la madiwani umefanyika mapema hii leo katika ukumbi wa Mwalimu J.K Nyerere lengo kuu likiwa ni kujadili  taarifa mbalimbali za utekelezaji kwa robo ya nne.

       Mkutano huo ulioongozwa na Kaimu Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Bwana Gerson Mtera ,Mwenyekiti wa Baraza la Madiwani Bwana Molloimet Sabor,Makamu  Mwenyekiti Mhe Esupat Ngulupa,Waheshimiwa Madiwani wa kata mbalimbali na wataalamu wa idara mbalimbali.

       Hata hivyo Mkutano huo ulikua na Agenda mbalimbali yakiwemo Mapendekezo ya ratiba ya vikao vya Halmashauri kwa mwaka 2017/18, Taarifa za kamati za kudumu za Halmashauri za Wilaya kwa kipindi cha April-juni2017, Maswali ya papo kwa papo kwa Mwenyekiti wa Halmashauri na Mkurugenzi Mtendaji , pamoja na yatokanayo na Mkutano wa tarehe 06/04/2017.

       Pia Mkutano huo wa Baraza la kawaida ulijadili taarifa za kamati za kudumu za Halmashauri ya Wilaya kwa kwa kipindi cha April hadi  June  2016.Zikiwemo raarifa ya kamati shirikishi ya kudhibiti Ukimwi ,taarifa ya kamati ya elimu, Afya na maji, taarifa ya kamati ya uchumi ,ujenzi na mazingira pamoja na taarifa ya kamati ya fedha utawala na mipango.

        Mwenyekiti wa Halmashauri Mh.Sabore Molloimet Alfunga mkutano huo kwakuwataka Wajumbe kufuata taratibu za uwasilishaji wa maswal



Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WA UMMA April 12, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA May 15, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA June 25, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • View All

Video

MKUU WA WILAYA YA LONGIDO AUNGANA NA RC KIHONGOSI KWENYE JOGGING YA TANZANIA SAMIA CONNECT
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.