Mkuu wa WIlaya ya Longido Mheshimiwa Daniel G. Chongolo amefanya Ziara ya kukagua miradi ya tabia nchi ya vibanio vya mifugo na kuweka jiwe la msingi ujenzi wa madarasa katika shule za msingi Kitendeni na shule ya msingi Kamwanga.
Katika Ziara hiyo Mh. chongolo ameridhishwa kwa kiasi kikubwa na ujenzi wa madarasa lakini pia ametoa ushauri na maelekezo mbalimbali katika kukamilisha ujenzi wa madarasa na vibanio.
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM