• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Miundombinu, Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mjjini
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Utawala na Usimamizi wa Rasimamli Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Utalii
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Leseni
    • Huduma za Utalii
    • Huduma za Mapato
    • Huduma zetu Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati ya Maadili ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Barua pepe za Idara na Vitengo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Kituo cha habari
      • Maktaba ya Picha
      • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
  • Vivutio
    • Mbuga
    • Ziwa

MKUUWA WILAYA YA LONGIDO MH.NURDIN BABU AONGEA NA WENYEVITI WA VIJIJI,VIONGOZI WA DINI, MALAIGWANANI NA WATENDAJI WA KATA NA VIJIJI

Posted on: August 16th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya  Longido  Mh Nurdin Babu leo tarehe 16./08/2021 ameongea na viongozi wa dini, Wenyeviti wa Vijiji, Mallaigwanani Watendaji wa vijiji na kata kuhusu mambo mbalimbali ya Maendeleo ya Wilaya yetu, Mh. Babu amewataka viongozi hao kusimamia Miradi mbalimbali ya Maendeleo kwani mitadi Mingi inatekelezwa kule na pesa nyingi serikali Inapeleka ngazi ya vijiji na kata, Lakini pia Mh Nurdin Babu  amewataka viongozi hao kuimarisha ujiirani mwema na  Nchi jirani na kuhamasisha  kulipia ushuru wa Mifugo pindi wananchi wetu  wanapopeleka mifugo yao nchi jirani kuuza

Vile vile Mh. Babu amewataka viongozi hao  kuhamasisha na  ukataji  wa Bima ya Afya ya CHF iliyoboreshwa inayogharimu elfu 30 kwa kaya moja ya watu 6 ambayo itakuwezesha kupata  matibabu kuanzia Zahaniti Mpaka Hospitali ya Mkoa.

Afya ni Muhimu sana kwa maendeleo ya Nchi yetu hivyo mkate  Bima  ya Afya ya CHF ili muwe na uhakika wa' Matibabu pindi  mnapoumwa, amesema Mh. Babu..

Mh.Babu Pia amewaambia viongozi hao wapate chanjo ya uviko 19 na kuhamasisha wananchi wore waliofikisha umri wa miaka 18 kupata chanjo ya uviko 19  kwani ugonjwa huu upo  na unaua sana na  amewahakikishi viongozi hao kuwa chanjo hii  haina madhara yoyote ni chanjo kama chanjo nyingine tulizowahi kuchoma huko nyuma kama za surua, pepopunda, ndui na nyingine nyingi.Pia  chanjo hiii ya uviko  19 itawasaidia pindi wanaposafiri nje ya Nchi. 


Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WA UMMA April 12, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA May 15, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA June 25, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • View All

Video

MKUU WA WILAYA YA LONGIDO AUNGANA NA RC KIHONGOSI KWENYE JOGGING YA TANZANIA SAMIA CONNECT
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.