• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Miundombinu, Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mjjini
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Utawala na Usimamizi wa Rasimamli Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Utalii
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Leseni
    • Huduma za Utalii
    • Huduma za Mapato
    • Huduma zetu Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati ya Maadili ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Barua pepe za Idara na Vitengo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Kituo cha habari
      • Maktaba ya Picha
      • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
  • Vivutio
    • Mbuga
    • Ziwa

MRADI WA UBORESHAJI USALAMA WA MILKI ZA ARDHI WAFIKA LONGIDO

Posted on: July 8th, 2023

Waziri wa Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Dr. Angeline Mabula leo tarehe 8 /07/2023 Amefungua mkutano wa wadau kujadili mpango wa matumuzi ya Ardhi ya wilaya ya Longido

Mkutano huu umelenga kujadili namna bora ya kuboresha mifumo ya usimamizi wa taarifa za ardhi nchini.

Vile vile mradi umejikita kuongeza usalama wa milki za Ardhi kwa kupanga,kupima na kumilikisha wananchi ardhi mijini na vijijini.

Akizungumza na viongozi, pamoja na wananchi wa Wilaya ya Longido. Dr Angeline Mabula amewahakikishia wananchi wa Longido kuwa Serikali imejipanga vema katika kuondoa migogoro kwenye kumiliki ardhi, ikumbukwe kuwa eneo la Longido asilimia 91 ni eneo la pori tengefu lakini bado kuna shughuli za kibinadamu zinaendelea na amesisitiza kuwa sio nia ya serikali kuwaondoa kwenye maeneo ya makazi ya watu.

Mheshimiwa waziri ameongeza kwa kusema kwamba wizara imejipanga haswa kuhakikisha mambo yanaenda sawa na yanafanikiwa,

Kuna maeneo yanakuwa kwa kasi kama Engaranaibor, Mundarara, Tingatinga ambayo kwa kipindi cha usoni yanaweza kuwa miji kwa hali ilivyo hayawezi kutangazwa kama hayajapangwa vizuri. "Tumieni fursa ya mradi huu kutatua migogoro ya Ardhi" Alisema Dr. Angeline.

Nae mkuu wa wilaya ya Longido Mheshimiwa Henry Ng'umbi ameipongeza Serikali ya awamu ya Sita chini ya uongozi wake Dr Samia Suluhu Hassan kwa kuona ipo sababu ya kuleta mradi huu katika Wilaya hii ya Longido kwani ni mradi wenye tija kwa wananchi wa Halmashauri.

Pia Mheshimiwa mkuu wa wilaya amewaonya viongozi na mtu yeyote ambae anatoa taarifa zisizo sahihi na zinazopotosha swala zima la  umiliki wa Ardhi kisheria,kwani kwa kufanya hivyo kutaleta taharuki kwa wananchi kitu ambacho Mheshimiwa Rais hatopenda kusikia.

"Sisi kama Longido tunashukuru sana kwa Mradi huu tupo tayari kutekeleza mradi ambao tunaona mwanga wa mafanikio kwenye Halmasahauri yetu hii pendwa"Alisema Mheshimiwa Marco Henry Ng'umbi Mkuu wa wilaya ya Longido.

Wadau mbali mbali wametoa maoni yao juu ya mpango mzima wa Mradi huu wa uboreshaji usalama wa Milki za Ardhi.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KAZI IENDELEE 

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WA UMMA April 12, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA May 15, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA June 25, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • View All

Video

MKUU WA WILAYA YA LONGIDO AUNGANA NA RC KIHONGOSI KWENYE JOGGING YA TANZANIA SAMIA CONNECT
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.