Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Longido, Dkt Jumaa Mhina leo tarehe 12/08/2020 amemkabidhi rasmi fomu za Uteuzi wa kugombea Ubunge Jimbo la Longido Bi.Paulina Lukas Laizer kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA).
Mgombe huyo wa Ubunge kwa kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), amekabidhiwa fomu hizo leo mnamo saa 05:20 asubuhi ya, kwenye Ofisi ya Msimamizi Uchaguzi Jimbo la Longido,
Bi Paulina Lukas Laizer amekuwa Mgombea wa kwanza kwa tiketi ya CHADEMA kuchukua form za Utezi wa Ubunge kwenye jimbo la Longido
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM