• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Miundombinu, Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mjjini
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Utawala na Usimamizi wa Rasimamli Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Utalii
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Leseni
    • Huduma za Utalii
    • Huduma za Mapato
    • Huduma zetu Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati ya Maadili ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Barua pepe za Idara na Vitengo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Kituo cha habari
      • Maktaba ya Picha
      • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
  • Vivutio
    • Mbuga
    • Ziwa

MSIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA LONGIDO AMEMKABIDHI FOMU YA UTEUZI MGOMBEA UBUNGE DKT STEVEN KIRUSWA KUPITIA CCM.

Posted on: August 24th, 2020

Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Longido Dkt Jumaa Mhina amemkabidhi fomu za Uteuzi wa Ubunge Jimbo la Longido Dkt Stephen Kiruswa kupitia chama cha Mapinduzi (CCM).

Mteule huyo wa Chama cha Mapinduzi, aliwasili majira ya saa 06:10 mchana, kwenye Ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo, na kukabidhiwa fomu hizo za Uteuzi mnamo saa 06:35 asubuhi, akiwa ni mteule wa chama chama cha Mapinduzi kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo hilo.

Mgombea huyo aliwasili kwenye ofisi za Msimamizi wa uchaguzi, akiwa ameambatana viongozi wa chama hicho ngazi wilaya na kata, akiwepo, Katibu wa Chama wilaya ya Longido, katibu mwenezi wilaya, wajumbe wengine wa chama hicho pamoja na baadhi ya wateule wa Udiwani wa chama hicho.

Aidha Msimamizi huyo wa Uchaguzi, alimkabidhi fomu ya Uteuzi mgombea huyo, kufuatia Maelekezo ya Fomu ya Uteuzi Na. 8B, kwa mujibu wa Kifungu cha 38 (3) na (4) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi sura ya 343 ikiweka wazi mambo yaliyojumuishwa kwenye fomu ya Uteuzi.

Msimamizi wa uchaguzi Dkt Jumaa Mhina amemtaka mteule huyo, kusoma maelekezo yaliyotolewa na Tume ya Taifa Ya Uchaguzi, kuheshimu na kufuata taratibu za Uchaguzi kwa kusoma nyaraka hizo  zenye maelekezo ya taratibu zote za uchaguzi mkuu.

 Aidha amemtaka na kufuata kanuni na taratibu za uchaguzi wakati wote wa kampeni, kwa kufanya kampeni za kistaarabu, ikiwa ni pamoja na kuepuka lugha za kashfa kwa wagombea wengine, lengo likiwa ni kufanikisha uchaguzi kwa amani, huru na haki kwa maendeleo ya wananchi wa Tanzania.

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WA UMMA April 12, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA May 15, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA June 25, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • View All

Video

MKUU WA WILAYA YA LONGIDO AUNGANA NA RC KIHONGOSI KWENYE JOGGING YA TANZANIA SAMIA CONNECT
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.