'KUELEKEA UCHUMI WA VIWANDA:TUSIWAACHE WATOTO NYUMA',ni kauli mbiu ya siku ya mtoto Duniani kauli mbiu hii inaitaka serikali kutatua changamoto nyingi zinazowakabili watoto ambazo zinakwamisha maendeleo na ustawi wa watoto, kuelekea uchumi wa viwanda
Changamoto zinazowakabili watoto kwa sasa, zinatakiwa kudhibitiwa na kutafutiwa ufumbuzi, endapo hazitatafutiwa ufumbuzi endelevu, zinaweza kuleta madhara makubwa kwa maisha ya watoto ya baadae na watoto kushindwa kufikia malengo ya kutekeleza uchumi wa viwanda.
Baadhi ya changamoto hizo ni pamoja na vitendo vya ukatili dhidi ya watoto vinavyofanywa na jamii, kukeketwa, mimba na ndoa za utotoni, haviwezi kuwafanya watoto kufikia uchumi wa viwanda unaoandaliwa na serikali kwa sasa hasa ukatili dhidi yao.
Maazimisho hayo yamefanyika leo tarehe 16/06/2018 katika mji wa Namanga Wilayani Longido.
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM