• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Afya
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
        • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti Ukimwi
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • miradi iliyokamilishwa
  • Machapisho
    • sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • mpango mkakakati
    • Riport mbalimbali
    • Form mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

TIMU YA WATAALAMU KUTOKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOMBA YAJA KUJIFUNZA HALMASHAURI YA LONGIDO.

Posted on: July 13th, 2020

Timu ya wataalamu kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Momba  mkoani Songwe leo tarehe 13/07/2020 wametembelea Halmashauri ya Wilaya ya Longido  kujifunza jinsi Halmashauri ilivyoweza kupandisha Mapato ya  Halmashauri kupitia mnada wa Mifugo na vyanzo vingine.

Timu hiyo imeongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo ndugu Adrian J.Jungu aliyeambatana na Afisa Biashara ,Afisa Mipango na Afisa Mifugo wa Halmashauri ya Momba.

Akiongea na ugeni huo Dkt Jumaa Mhina Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Longido amesema miaka minne nyuma Halmashauri ilikuwa inakusanya takribani milioni  540 kwa mwaka kutoka kwenye vyanzo vyake mbalimbali lakini sasa tunakusanya wastani wa  bilioni  2 kwa mwaka ambapo tunaweza kutoa asilimia kumi(10%) ya wanawake ,vijana na walemavu bila shida yoyote pia vikao vya waheshimiwa madiwani  vinakaa kama ratiba inavyosema na tumeweza kuchangia  fedha kwenye miradi ya Maendeleo,Pia tumeweza kupandisha mapato ya serikali kuu kupitia mnada huu wa mifugo wa eworendeke  uliojengwa kwa ufadhili wa Programu ya MIVARF ambapo wizara ya Mifugo wamekusanya  wastani wa bilioni 300 na Halmashauri tumekusanya takribani  bilioni 1.2 kupitia mnada huu toka umeazishwa. 

 Mkurugenzi Mtendaji Dkt Mhina na wataalamu wa Halmashauri ya Longido akiongea na wataalamu kutoka Halmashauri ya Momba eneo la mnada Eworendeke.

Afisa Mifugo wa Halmashauri Ndugu Nestory Dagharo akiwaonyesha wageni hao jinsi mifugo inavyoingia na kutoka kwenye mnada huo

 Pia timu hiyo imeweza kutembelea  kiwanda cha kuchakata nyama kinachojengwa na mwekezaji Elia food overseas,wakiwa kiwandani hapo Dkt Mhina alisema  kiwanda hiki kikikamilika Halmashauri inategemea kupata mapato kutokana na kodi ya huduma na tutaweza kutekeleza Miradi yetu ya Maendeleo lakini pia serikali kuu itapata mapato  alisema Dkt Mhina.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Momba Ndg  Adrian Jungu amemshukuru Dkt Mhina kwa ziara yao yenye mafanikio makubwa na kusema hakika ni Wilaya ya Mpakani inayofaa kuigwa na Halmashauri  za mpakani.

 




Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10% January 30, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • MITUNGI 50 YATOLEWA KWA BABA NA MAMA LISHE WILAYANI LONGIDO

    April 17, 2025
  • WATAALAMU WA AFYA WATOA ELIMU KUHUSU MPOX KATIKA SHULE YA SEKONDARI ENGARENAIBOR NA KETUMBEINE

    March 21, 2025
  • WWF NA BBC MEDIA ACTION WATOA MAFUNZO KWA VIONGOZI WA JAMII JUU YA UHIFADHI WA MAZINGIRA

    March 21, 2025
  • IDARA YA AFYA ,USTAWI WA JAMII NA LISHE YAADHIMISHA SIKU YA AFYA YA KINYWA NA MENO

    March 21, 2025
  • View All

Video

Ujenzi wa madarasa 4 na Ofisi ya walimu shule shikizi Lopoloseki,
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Ufugaji
  • Elimu msingi Primary Education

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM