• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Miundombinu, Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mjjini
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Utawala na Usimamizi wa Rasimamli Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Utalii
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Leseni
    • Huduma za Utalii
    • Huduma za Mapato
    • Huduma zetu Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati ya Maadili ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Barua pepe za Idara na Vitengo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Kituo cha habari
      • Maktaba ya Picha
      • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
  • Vivutio
    • Mbuga
    • Ziwa

WATENDAJI WA KATA WASAINI MIKATABA YA LISHE.

Posted on: November 18th, 2022

Watendaji 18 wa Kata za Halmashauri ya, Wilaya ya Longido Leo tarehe 18/11/2022 wasaini mkataba wa Lishe ikiwa ni juhudi za  Serikali  ya awamu ya sita  inayoongozwa na  Mhe.Rais Samia Suluhu  Hassan za kupinga na kuzuia utapiamlo  kwenye jamii ikizingatiwa  lishe ni msingi wa afya ya  binadamu,  Maendeleo  ya jamii na uchumi wa nchi kwa ujumla.

Akifungua kikao hicho cha utiaji Saini wa Mikataba ya Lishe

Mwenyekiti wa kikao hicho ambaye ni  Afisa Tawala Wilaya ya Longido Ndugu Boniface Lugola Ameiasa jamii kuzingatia lishe bora kwa watoto ili kuimarisha afya ya mtoto mmoja mmoja ili kuondokana na magonjwa kwa watoto hususani utapiamlo ambao umekuwa tishio kwa watoto wengi

Pia amewataka Watendaji wa kata  kuifanya agenda ya Lishe iwe ya kudumu kwenye Mikutano yao Kwa kushirikiana na wataalamu wa Lishe kwa kutoa Elimu juu ya Lishe bora kwa jamii

  Nae mkuu wa idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na lishe Dr Selemani Mtenjela ameiomba jamii hasa wakina mama kuzingatia unyonyeshaji wa mtoto kwa muda wa miezi sita kwani ndio msingi mkubwa wa lishe na Afya ya mtoto sambamba na hilo ameomba pia mtoto apewe chakula bora chenye vitamin zote ili kumsaidia katika ukuaji wake ili kuondokana na Maradhi yanayohusiana na ukosefu wa chakula bora.

 Serikali imejitahidi sana katika kutoa misaada mbali mbali kwa jamii hususani chakula ili kusaidia kuondokana na baa la njaa kwa jamii ivyo kuwataka wajumbe kuhamasisha jamii kuzingatia mlo ulio kamili alisema ndugu Edward Mboya kwa niaba ya Mkurugenzi wa Wilaya ya Longido.

Zoezi hilo la utiaji saini mikataba ya lishe  limefanyika katika ukumbi wa Halmashauri na  kushuhudiwa na wakuu wa Idara na Vitengo na Kamati ya uendeshaji huduma za afya ngazi ya Wilaya.

#Kazi iiendelee#

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WA UMMA April 12, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA May 15, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA June 25, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • View All

Video

MKUU WA WILAYA YA LONGIDO AUNGANA NA RC KIHONGOSI KWENYE JOGGING YA TANZANIA SAMIA CONNECT
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.