• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Miundombinu, Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mjjini
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Utawala na Usimamizi wa Rasimamli Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Utalii
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Leseni
    • Huduma za Utalii
    • Huduma za Mapato
    • Huduma zetu Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati ya Maadili ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Barua pepe za Idara na Vitengo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Kituo cha habari
      • Maktaba ya Picha
      • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
  • Vivutio
    • Mbuga
    • Ziwa

WATEULE WA VYAMA 4 VYA SIASA WATANGAZWA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA LONGIDO. .

Posted on: August 25th, 2020


Posted On: August 25th, 2020

  Msimamizi wa Uchaguzi, Jimbo la Longido, Dr. Jumaa Mhina, ametangaza majina ya Uteuzi wa Ubunge wa Jimbo la Longido, uteuzi huo umefanyika kwa mujibu wa ratiba ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi. 

   Msimamizi wa Uchaguzi  wa jimbo hilo amefafanua kuwa, jumla ya Wateule wa Ubunge 6 kutoka vyama 6 vya siasa, walichukua fomu za Uteuzi katika Jimbo hilo na baadhi yao, kuzirejesha fomu hizo kwa wakati kwa mujibu wa kanuni na taratibu zilizotolewa naTume ya Taifa ya Uchaguzi.

 Akifafanua zaidi Dr. Jumaa amesema, wateule 4 kati ya wateule 6 ndio waliorejesha fomu za uteuzi na mteule mmoja  alirejesha kwa kuchelewa hivyo tume kushindwa kupokea fomu zake. na mgombea mmoja hajarejesha fomu.

     Aidha amewataja Wagombea walioteuliwa ni pamoja na Feruziy Juma Feruziyson wa Chama cha (NRA) , Dr. Kiruswa Steven Lemomo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ,Mkadam Kombo Mkadam wa Chama (CUF) , Paulina Lukas Laizer wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo -(CHADEMA)

Mteule wa chama cha ACT-WAZALENDO alirejesha fomu bila ya kuzingatia muda na kusababisha tume kus hindwa kuipokea  fomu  hiyo.

    Mteule ambae alichukua fomu za Uteuzi wa Ubunge na hakuzirudisha  kwa Msimamizi wa Uchaguzi ni Mteule wa Chama cha Jamii - CCK. 

     Msimamizi wa Uchaguzi, Dkt Jumaa Mhina ametangaza ratiba ya Kampeni za Uchaguzi kuanza rasmi kesho tarehe 26 Agosti 2020 na kuwataka wagombea wote walioteuliwa, kufanya kampeni za kistaarabu na kuepuka lugha za kejeli na matusi huku akiwasisitiza  wananchi kwenda kwenye mikutano ya kampeni na kusikiliza sera za wagombea na kuchagua viongozi bora siku ya Uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani ifikapo ya tarehe 28 Oktoba 2020.
























Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WA UMMA April 12, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA May 15, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA June 25, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • View All

Video

MKUU WA WILAYA YA LONGIDO AUNGANA NA RC KIHONGOSI KWENYE JOGGING YA TANZANIA SAMIA CONNECT
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.