• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Afya
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
        • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti Ukimwi
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • miradi iliyokamilishwa
  • Machapisho
    • sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • mpango mkakakati
    • Riport mbalimbali
    • Form mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI MBALIMBALI

Posted on: September 28th, 2017

Na:Saumu Kweka

Approved By Joseph  Peter Mkumbwa. ICTO

      Waheshimiwa wa Kata mbalimbali wa Kamati ya fedha walifanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali iliyo chini ya Halmashauri ili kujiridhisha.

      Waheshimiwa Madiwani hao walitembelea na kukagua miradi inayopatikana maeneo ya Namanga,Kimokouwa,Longido,Tingatinga na Mradi mkubwa wa maji Olmology.

      Miradi hiyo iliyokaguliwa ni Mradi mkubwa wa maji kutoka Mto Simba hadi Longido mjini,Kukamilika ujenzi wa Zahanati ya Kimokouwa ,Ujenzi wa miundombinu ya Mnada wa  MIVARF,Mradi wa ujenzi wa jingo la x-ray  Kituo cha Afya Longido,kutembelea mradi wa maji Tingatinga Ngereyani,na Ujenzi wa nyumba  ya walimu Six in one ,ujenzi wa vyumba 3 vya madarasa choo cha matundu 8 na choo cha matundu 2 katika shule ya Sekondari Tingatinga.

       Aidha mradi uliokamilika ni Ujenzi wa Zahanati ya Kimokouwa ,ikiwa wa ujenzi wa Jengo la Zahanati,ujenzi wa choo,na uwekaji wa maji,na ujenzi wa Placenta Pit uliotumia jumla ya shilingi 59,131,854..Changamoto iliyopo ni Zahanati kukamilika lakini haina nyumba za Watumishi.

       Baadhi ya miradi ambayo ipo katika  hatua nzuri za ukamilishwaji ni Ujenzi wa programu ya MIVARF,ambapo ni ujenzi wa mazizi ya ng’ombe ,ujenzi wa vyoo  pamoja na jingo la utawala.Mradi huo unagharimu jumla ya shilingi 314,078,944.80 na mpaka sasa Halmashauri imechangia jumla ya shilingi 20,000,000.Mradi mwingine ambao upo kwenye mwendelezo ni Ujenzi wa jingo la x-ray room katika kituo cha Afya Longido.

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • WAZIRI WA MIFUGO AZINDUA CHANJO YA MIFUGO ,AWATAKA WAFUGAJI KUFUGA KISASA

    July 02, 2025
  • LONGIDO YAAGA MADIWANI WAKE KWA HESHIMA, YASIFIA UONGOZI WAO WA HEKIMA NA BUSARA

    June 20, 2025
  • LONGIDO YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA KWA MAFANIKIO MAKUBWA

    June 17, 2025
  • LONGIDO YATOA VIPAJI KUUNDA TIMU YA MKOA KWENYE MASHINDANO YA UMISSETA

    June 06, 2025
  • View All

Video

Ujenzi wa madarasa 4 na Ofisi ya walimu shule shikizi Lopoloseki,
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Ufugaji
  • Elimu msingi Primary Education

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM