Waziri wa mambo ya ndani ya nchi ,Mh. Kangi Lugola leo tarehe 17/02/2019 ametembeleaa wilaya ya Longido na kufanya mazungumzo na uhamiaji, Polisi na kusikiliza kero mbalimbali za wananchi.
Mh.Lugola amemuagiza kamishina wa uhamiaji ahakikishe ndani ya miezi mitatu wapeleke maafisa wa uhamiaji maeneo ya mpakani,na kuhakikisha watanzania wanaosafiri nje ya nchi mara kwa mara wanapatiwa pasipoti za miaka kumi.
Pia Mh. Lugola amewakataza maafisa wa polisi waache mara moja kuwarukia boda boda na kuwanyang'anya funguo zao .
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM