• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Miundombinu, Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mjjini
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Utawala na Usimamizi wa Rasimamli Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Utalii
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Leseni
    • Huduma za Utalii
    • Huduma za Mapato
    • Huduma zetu Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati ya Maadili ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Barua pepe za Idara na Vitengo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Kituo cha habari
      • Maktaba ya Picha
      • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
  • Vivutio
    • Mbuga
    • Ziwa

MH.SABORE AIBUKA KIDEDEA UCHAGUZI WA MWENYEKITI ALAT MKOA WA ARUSHA..

Posted on: October 1st, 2019

Na. Zaina Mzee.

Mheshimiwa Sabore Kennedy Molloimet ameibuka kidedea kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa ALAT mkoa wa Arusha, Uchaguzi huo umefanyika kwenye  Ukumbi wa Mikutano wa halmashauri ya Arusha.

Akimtangaza Mwenyekiti mpya  wa ALAT mkoa ,Makamu Mwenyekiti ALAT mkoa wa Arusha ambaye ni Meya wa Jiji la Arusha, Mheshimiwa Kalist Lazaro amesema uchaguzi huo umefanyika kwa mujibu wa kanuni za kudumu za mikutano ya uchaguzi wa viongozi wa jumuiya hiyo za mwaka 2009. 

Hivyo amemtangaza Mwenyekiti wa Halmashauri ya Longido,Mheshimiwa Sabore Molloimet kuwa Mwenyekiti wa ALAT mkoa wa Arusha kwa kupata kura 21 za ndio kati ya 22 na kumpa dhamana ya kuwa Mwenyekiti wa ALAT mkoa wa Arusha mpaka  mwaka 2020.

Naye Mwenyekiti mpya wa ALAT mkoa wa Arusha, mheshimiwa Molloimet  amewakushukuru wajumbe kwa kumpa dhamana ya kushika nafasi hiyo lakini pia amewaomba  wajumbe hao, kushirikiana kwa pamoja na kuweka tofauti zao za kiitikadi kwa maslahi mapana ya wananchi waliowachagua na Taifa kwa ujumla.

Aidha Mheshimiwa Mwenyekiti huyo, ameahidi kutumia uwezo alionao,  kusimamia nafasi hiyo kwa haki na kuwataka wajumbe kutimiza wajibu wao pamoja na kuheshimu makubaliano na kusimamia utekelezaji wake.

"Nashukuru kwa kunipa nafasi hii na uwezo ninao, naahidi kuutumia kwa kutenda haki, na zaidi tutumie nafasi zetu kuwahudumia wananchi kwa maslahi ya watanzania"amesema Mwenyekiti  Molloimet

Mheshimiwa Sabore amechukua nafasi iliyoachwa wazi na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Karatu,Mheshimiwa Jubilete Mnyenye  aliyepoteza sifa za kuwa Mwenyekiti wa ALAT.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 08, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA ( LINARUDIWA ) October 10, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA October 19, 2024
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 October 30, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA LONGIDO AWATAKIA WANAFUNZI WA DARASA LA SABA KILA LAHERI KWENYE MITIHANI YAO

    September 09, 2025
  • HUDUMA ZA UPASUAJI ZAANZA RASMI KITUO CHA AFYA EWORENDEKE - LONGIDO

    September 06, 2025
  • HUDUMA ZA UPASUAJI ZAANZA RASMI KITUO CHA AFYA EWORENDEKE - LONGIDO

    September 06, 2025
  • RC ARUSHA ATOA WITO WA AMANI NA UTULIVU LONGIDO KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

    September 04, 2025
  • View All

Video

WASICHANA WA SHULE YA SEKONDARI LONGIDO WAPATIWA ELIMU YA HEDHI SALAMA NA MSAADA WA TAULO ZA KIKE
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.