• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Afya
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
        • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti Ukimwi
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • miradi iliyokamilishwa
  • Machapisho
    • sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • mpango mkakakati
    • Riport mbalimbali
    • Form mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MSIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA LONGIDO ATOA ELIMU JUU YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.

Posted on: September 23rd, 2019

Msimamizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa jimbo la Longido  Bi .Natang’aduaki Mollel Leo tarehe 23-09-2019 amefanya kikao cha pamoja na wadau mbalimbali wa uchaguzi wakiwemo  wasimamizi wa uchaguzi ngazi ya kata na vijiji, viongozi wa vyama vya siasa,viongozi wa dini, asasi za kiraia na viongozi wa mila katika ukumbi wa halmashauri akieleze mstakabali mzima wa zoezi la uchaguzi wa serikali ya mitaa unaotarajia kufanyika tarehe 24-11-2019 nchi nzima.

Bi.Natang’aduaki Mollel amewaasa wadau mbalimbali kuitumia fursa hii ya uchaguzi kuwaelimisha wananchi kuchagua viongozi wazuri ambao watakao wasaidia kuchochea na kuleta maendeleo chanya katika jamii. Pamoja na maelezo hayo alipata nafasi ya kusikiliza na kutolea maelezo maswali mbalimbali yaliyoulizwa na wadau wakitaka kufahamu zaidi zoezi zima la uchaguzi wa serikali za mitaa.

Pia msimamizi wa uchaguzi aliendesha semina elekezi kwa viongozi wa serikali ya vijiji kata vitongoji na viongozi ngazi ya halmashauri wakiwemo wasimamizi wasidizi ngazi ya kata (ARO kata) na wasimamizi wasaidizi ngazi ya vijiji (ARO vijiji) na wasimamizi wasaidizi jimbo (ARO jimbo) majukumu yao kabda, wakati na baada ya uchaguzi ikiambata na kiapo cha utii na uadilifu katika zoezi zima la uchaguzi. Pamoja na kupitia na kufanya majadiliano ya  miongozo na kanuni mbalimbali za uchaguzi za mwaka 2019.

 

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • LONGIDO YANG'ARA KITAIFA YAPATA TUZO YA UFAULU KIDATO CHA PILI

    July 11, 2025
  • LONGIDO YANG'ARA KITAIFA YAPATA TUZO YA UFAULU KIDATO CHA PILI

    July 11, 2025
  • WAZIRI WA MIFUGO AZINDUA CHANJO YA MIFUGO ,AWATAKA WAFUGAJI KUFUGA KISASA

    July 02, 2025
  • LONGIDO YAAGA MADIWANI WAKE KWA HESHIMA, YASIFIA UONGOZI WAO WA HEKIMA NA BUSARA

    June 20, 2025
  • View All

Video

Ujenzi wa madarasa 4 na Ofisi ya walimu shule shikizi Lopoloseki,
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Ufugaji
  • Elimu msingi Primary Education

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM