• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Afya
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
        • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti Ukimwi
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • miradi iliyokamilishwa
  • Machapisho
    • sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • mpango mkakakati
    • Riport mbalimbali
    • Form mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WATENDAJI WA KATA WAPATIWA MAFUNZO YA USAJILI MPYA WA VIKUNDI KWA NJIA YA KIELEKTRONIKI

Posted on: March 25th, 2021

Leo tarehe 25-03-2021 idara ya maendeleo ya jamii iliyochini ya Bi Grace Mghase imeendesha mafunzo kwa watendaji wa kata,walimu wa vikundi na maafisa mbalimbali ngazi ya wilaya kuhusu kutoa mwongozo wa usajili wa vikundi na jinsi ya kuandaa katiba ya vikundi vya kijamii vya huduma ndogo za fedha.

Kaimu mkurugenzi ndugu Joseph Logolie alifungua mafunzo hayo kwa kuwapongeza kuhudhuria kwa wakati na kuwataka wajumbe wote kushiriki mafunzo hayo kwa kusikiliza mada zote zinazotolewa na wawezeshaji ili kuhakikisha zoezi linakamilika kwa wakati.

Wawezeshaji kwenye mafuzo hayo ndugu Evans,Betty na Abunuas walitoa taratibu na kanuni mpya ya usajili wa vikundi vya kijamii vya huduma ndogo za fedha ambao kwa sasa usajili wa vikundi vyote vya kifedha utafanyika kwa njia ya mfumo wa kieleckroniki  unaoitwa CMG Online Registration System unaopatikana kupitia link ifuatayo https://Cmg.bot.go.tz/cmg-portal.

Kwenye mafunzo hayo yaliyohudhuriwa na wadau mbalimbali kama Pastorial Women Council (PWC) inayojihusisha na kuwawezesha na kuwatambua wanawake waliokwenye jamii za kifugaji kuwainua na kuwakomboa kiuchumi kupitia miradi mbalimbali. Pia benki ya NMB nao walikuwepo kutoa mada fupi juu ya taratibu na masharti ya ufunguaji wa akaunti bila ya usumbufu.

Mwisho kabisa mkuu wa idara ya maendeleo ya jamii Bi.Grace Mghase alifunga mafunzo hayo kwa kutoa mikakati na taratibu rahisi za kuhakikisha usajili unafanyika kwa wakati kwa kuwataka kwanza watendaji wanahakikisha wanawahimiza viongozi wote wa vikundi wanaandaa viambata vyote vinavyohitajika ili usajili ukamilike pia kuwataka watendaji na walimu wa vikundi kuhakikisha elimu hii waliyoipata wanaipeleka kwa wanachama wote kwenye vikundi vyao.

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • LONGIDO YAAGA MADIWANI WAKE KWA HESHIMA, YASIFIA UONGOZI WAO WA HEKIMA NA BUSARA

    June 20, 2025
  • LONGIDO YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA KWA MAFANIKIO MAKUBWA

    June 17, 2025
  • LONGIDO YATOA VIPAJI KUUNDA TIMU YA MKOA KWENYE MASHINDANO YA UMISSETA

    June 06, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA LONGIDO YAPELEKA TIMU YA UMITASHUMTA KATIKA MASHINDANO YA MKOA ARUSHA 2025

    May 28, 2025
  • View All

Video

Ujenzi wa madarasa 4 na Ofisi ya walimu shule shikizi Lopoloseki,
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Ufugaji
  • Elimu msingi Primary Education

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM