Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassani akiwa na katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika(PAPU) Dkt Sifundi Moyo,Waziri wa Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe.Nape Nnauye pamoja na viongozi wengine wakati akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Jengo la Makao makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU Tower)lililopo eneo la Philips jijini Arusha Leo tarehe 02 Septemba 2023.
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM