Halmashauri ya Longido kupitia Wataalam wa Halmashauri wamefanya kikao kutambulisha wafadhili wa Mradi wa shughuli za Mapato kutoka Taasisi ya AMBERO & GIZ Germany. Wataalamu hao ni pamoja na Wakuu Idara na Vitengo paoja na Timu ya Mapato.
Wawakilishi wa Taasisis wameeleza kuwa lengo lao ni kuhakikisha makusanyo ya Halmashsuri yanapanda katika halmashauri ambazo watafanya nazo kazi ambapo kwa Tanzania ni 15 na kati ya hizo Longido ni miongoni mwa Wilaya 3 za Mkoa wa arusha.
Naye mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Bwana Jumaa Mhina amesema ukusanyaji wa Mapato ni kipaumbele katika Halmashauri yetu. Akiongea kwa Kingereza ametaja maeneo yakuboresha na yakuanzisha kama ifuatavyo
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM