Mratibu wa Mradi wa Faith4Restoration uliopo chini ya Shirika la Kimataifa la Uhifadhi wa Mazingira na Wanyamapori (WWF) Kutoka Ofisi ya Arusha Jane Shuma akizungumza katika siku ya pili ya mafunzo kwa Viongozi wa Dini, Vijiji na viongozi wa Kimila kuhusu Sera mbalimbali za utunzaji wa mazingira wilayani Longido yaliyoandaliwa na Shirika hilo chini ya Mradi huo unaotekelezwa kwenye Vijiji vitatu ambavyo ni Orbomba, Kimokouwa na Eworendeke.
Meneja wa Wakala wa Huduma za Maji Vijijini (RUWASA) Wilaya ya Longido Eng. Petro Ngerere akiwasilisha Mada kuhusu Sera ya Maji Vijijini katika siku ya pili ya mafunzo kwa Viongozi wa Dini, Vijiji na viongozi wa Kimila kuhusu Sera mbalimbali za utunzaji wa mazingira wilayani Longido yaliyoandaliwa na Shirika la Kimataifa la Uhifadhi wa Mazingira na Wanyamapori (WWF) chini ya Mradi wake wa Faith4Restoration unaotekelezwa kwenye Vijiji vitatu ambavyo ni Orbomba, Kimokouwa na Eworendeke.
Afisa Mifugo Msaidizi Wilaya ya Longido Wilson Kavishe akiwasilisha mada kuhusu Nyanda za Malisho katika siku ya pili ya mafunzo kwa Viongozi wa Dini, Vijiji na Viongozi wa Kimila kuhusu Sera mbalimbali za utunzaji wa mazingira wilayani Longido yaliyoandaliwa na Shirika la Kimataifa la Uhifadhi wa Mazingira na Wanyamapori (WWF) chini ya Mradi wake wa Faith4Restoration unaotekelezwa kwenye Vijiji vitatu ambavyo ni Orbomba, Kimokouwa na Eworendeke.
Kaimu Meneja wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Arusha (AUWASA) Kurwa Ramadhan akitoa ufafanuzi wa maswali mbalimbali kuhusu hali ya huduma ya maji Wilaya ya Longido katika siku ya pili ya mafunzo kwa Viongozi wa Dini, Vijiji na viongozi wa Kimila kuhusu Sera mbalimbali za utunzaji wa mazingira wilayani humo yaliyoandaliwa na Shirika la Kimataifa la Uhifadhi wa Mazingira na Wanyamapori (WWF) chini ya Mradi wake wa Faith4Restoration unaotekelezwa kwenye Vijiji vitatu ambavyo ni Orbomba, Kimokouwa na Eworendeke.
Afisa Maendeleo ya Jamii Halmashauri ya Wilaya ya Longido Paulo Ndaki akiwasilisha mada kuhusu Umuhimu wa Utunzaji wa Mazingira ili kuleta Maendeleo Bora katika Jamii, katika siku ya pili ya mafunzo kwa Viongozi wa Dini, Vijiji na Viongozi wa Kimila kuhusu Sera mbalimbali za utunzaji wa mazingira wilayani Longido yaliyoandaliwa na Shirika la Kimataifa la Uhifadhi wa Mazingira na Wanyamapori (WWF) chini ya Mradi wake wa Faith4Restoration unaotekelezwa kwenye Vijiji vitatu ambavyo ni Orbomba, Kimokouwa na Eworendeke.
Mwinjilisti wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)-Longido Elizabeth Laizer akiwasilisha mada ya namna Bibilia inavyoeleza kuhusu utunzaji wa mazingira katika siku ya pili ya mafunzo kwa Viongozi wa Dini, Vijiji na viongozi wa Kimila kuhusu Sera mbalimbali za utunzaji wa mazingira wilayani Longido yaliyoandaliwa na Shirika la Kimataifa la Uhifadhi wa Mazingira na Wanyamapori (WWF) chini ya Mradi wake wa Faith4Restoration unaotekelezwa kwenye Vijiji vitatu ambavyo ni Orbomba, Kimokouwa na Eworendeke.
Mtafiti wa Kilimo kutoka Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) Richard Temba akiwasilisha mada kuhusu Uhifadhi wa Udongo katika siku ya pili ya mafunzo kwa Viongozi wa Dini, Vijiji na viongozi wa Kimila kuhusu Sera mbalimbali za utunzaji wa mazingira wilayani Longido yaliyoandaliwa na Shirika la Kimataifa la Uhifadhi wa Mazingira na Wanyamapori (WWF) chini ya Mradi wake wa Faith4Restoration unaotekelezwa kwenye Vijiji vitatu ambavyo ni Orbomba, Kimokouwa na Eworendeke.
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.