Katibu Tawala Wilaya Longido mkoa wa Arusha Khamana Simba Leo tarehe 10/8/2022 amehitimisha kilele cha wiki ya unyonyeshaji wilayani hapa katika sherehe zilizofanyika katika viwanja vya ofisi ya kata kimokouwa, Simba amewasisitiza wakina mama kunyonyesha watoto maziwa ya mama kwa miezi Sita bila kuwapatia chakula ili waweze kuwa na afya lmara na kuepuka magonjwa.Pia amewataka kina baba kuwapa ushirikiano kina mama wakiwa katika kipindi Cha kunyonyesha kwa kuacha kuwapiga na kuwapa chakula Bora.
Nae Mama ..........amesema yeye uwa anahidhuria kliniki na amefundishwa kutompa chakula chochote mtoto kwa miezi sita ya mwanzo isipokuwa maziwa yake tu na hii imewasaidia kwani kwa sasa watoto wao hawasumbuliwi na mgonjwa kama zamani walipokuwa wanawapa maziwa ya ng'ombe mara tu wanapojifungua.
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM