• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Miundombinu, Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mjjini
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Utawala na Usimamizi wa Rasimamli Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Utalii
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Leseni
    • Huduma za Utalii
    • Huduma za Mapato
    • Huduma zetu Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati ya Maadili ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Barua pepe za Idara na Vitengo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Kituo cha habari
      • Maktaba ya Picha
      • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
  • Vivutio
    • Mbuga
    • Ziwa

MADIWANI HALMASHAURI YA LONGIDO WAWASILISHA TAARIFA ZA KATA KWA ROBO YA KWANZA YA MWAKA 2021..

Posted on: November 18th, 2021

Madiwani wa Halmashauri  ya Wilaya ya Longido leo tarehe 18/11/2021 wamewasilisha taarifa za kata zao kwenye Baraza la madiwani lililokaa leo katika ukumbi wa mkutano wa Halmashauri. 

Taarifa hizo za robo  zilijikita kwenye sekta mbalimbali za Elimu, Afya, maji, miundombinu, mapato na matumizi na maendeleo ya jamii. 

Mh. diwani akiwasilisha taarifa ya kata ya Longido. 

Taarifa ya kata ya Namanga ikiwasilishwa. 

Diwani kata ya Elang! atadapash akiwasilisha Taarifa yake. 

Diwani viti maalum akiwasilisha Taarifa ya kata. 

Mh. Diwani kata ya Orbomba akiwasilisha Taarifa ya kata yake. 


Mh. Diwani kata ya Engarenaibor akiwasilisha taarifa ya kata yake iliyojikita kwenye sekta za afya, Elimu, maji, miundombinu, mapato na matumizi na sekta nyingine.

Mh. Diwani kata ya Sinya akiwasilisha Taarifa. 

Mh.  Diwani kata ya Ketumbeine akifafanua jambo. 

Mwenyekiti wa Halmashauri, Mh Simon Oitesoi akisisitiza jambo

Mh. Diwani kata ya Tingatinga   akichangia mijadala. 

Wananchi na Wataalamu wa  Longido wakisikiliza mjadala unaendelea wa baraza la kata. 

Mwenyekiti wa Halmashauri akifunga mkutano huo wa baraza la kata la kuwasilisha taarifa zao za kata kwa robo ya kwanza kwa kuwataka waheshimiwa Madiwani  kwenda kuwahudumia wananchi na kutatua changamoto za kata zao kwa kushirikiana na wataalam. 

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WA UMMA April 12, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA May 15, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA June 25, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • View All

Video

MKUU WA WILAYA YA LONGIDO AUNGANA NA RC KIHONGOSI KWENYE JOGGING YA TANZANIA SAMIA CONNECT
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.