• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Afya
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
        • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti Ukimwi
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • miradi iliyokamilishwa
  • Machapisho
    • sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • mpango mkakakati
    • Riport mbalimbali
    • Form mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MADIWANI WAWASILISHA TAARIFA ZA UTEKELEZAJI KWA ROBO YA NNE APRILI MPAKA JUNI 2019

Posted on: September 4th, 2019

MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI HALMASHAURI YA WILAYA LONGIDO. TAREHE 04.09.2019

Baraza la madiwani Halmashauri ya wilaya Longido wakiwasilisha taarifa za utekelezaji wa kata kwa kipindi cha Aprili hadi Juni 2019. Hivyo leo tarehe 04.09.2019 kikao hicho kilicho ongozwa na mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya Mhe. Sabore Molloimet katika ukumbi wa mikutano wa J.K. Nyerere Halmashauri ya wiliya Longido. Katika kikao hicho kila Diwani aliweza kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa kata kwa kuelezea namna ya utekelezaji wa maazimio ya kikao kilicho pita mwezi Mei 2019, mafanikio, changamoto pamoja na mapato na matumizi katika kata zao.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya Longido Mhe. Sabore Molloimet amewaomba waheshimiwa madiwani kuandaa tarifa zao na kupeleka mahali husika kwa wakati, pia ameagiza watendaji kuwa na tabia ya kuwakumbusha waheshimiwa madiwani kusaini taarifa wanazoziandika, sambamba na hilo amewataka viongozi ( madiwani) kulinda usalama wa raia na mali zao kwani wananchi waliwachagua kwa kazi hizo.

Baada ya diwani wa Mundarara Mhe. Elias Mushao kuelezea jinsi kata yake ilivyo na uhaba wa vyombo vya uasafiri hasa kitengo cha afya ameeleza kuwa vijiji kumi na mbili (12) hutegemea zahanati moja , na kuulizia Pikipiki iliyo tolewa na mhe. Catherine Magige kwajili ya zahanati ya Mundarara, ndipo Mwenyekiti akatoa agizo  kwa afisa ukaguzi kwamba pikipiki hiyo ipelekwe eneo husika maara baada ya kikao hicho. Diwani wa Kamwanga Mhe. Elias Mbao, ameomba Halmashauri ya wilaya kuweza kumpeleka mganga mkuu kata ya Kamwanga kwani kuna changamoto kubwa katika sekta ya Afya.

Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya Longido wakili Jumaa Mhina, amelielezea baraza juu ya umeme wa vijijini ( REA)  na kusema kuwa wilaya ya Longido pekee ndio haikupata mgao wa umeme vijijini kwa miaka iliyo pita ila kwasasa  mgao huo wa umeme umefika wilayani Longido na tukiwa tumekusudia kila kata kuwa na umeme na kuwaomba waheshimiwa madiwani wakisaidiana na watendaji wa kata kutoa taarifa ya vijiji ambavyo hawajafikiwa  na huduma ya umeme huu wa (REA). Aidha Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya Longido, Mhe. Sabore Molloimet amesema kuwa ifikapo mwaka 2022 vijiji vyote wilayani Longido vitakuwa vinawaka umeme.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10% January 30, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • MITUNGI 50 YATOLEWA KWA BABA NA MAMA LISHE WILAYANI LONGIDO

    April 17, 2025
  • WATAALAMU WA AFYA WATOA ELIMU KUHUSU MPOX KATIKA SHULE YA SEKONDARI ENGARENAIBOR NA KETUMBEINE

    March 21, 2025
  • WWF NA BBC MEDIA ACTION WATOA MAFUNZO KWA VIONGOZI WA JAMII JUU YA UHIFADHI WA MAZINGIRA

    March 21, 2025
  • IDARA YA AFYA ,USTAWI WA JAMII NA LISHE YAADHIMISHA SIKU YA AFYA YA KINYWA NA MENO

    March 21, 2025
  • View All

Video

Ujenzi wa madarasa 4 na Ofisi ya walimu shule shikizi Lopoloseki,
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Ufugaji
  • Elimu msingi Primary Education

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM