• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Afya
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
        • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti Ukimwi
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • miradi iliyokamilishwa
  • Machapisho
    • sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • mpango mkakakati
    • Riport mbalimbali
    • Form mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MKURUGENZI APOKEA MSAADA WA MATANK YA MAJI.

Posted on: July 10th, 2021

Mkurugenzi  mtendaji  Dk. Jumaa Mhina amepokea Matanki kumi  na sita toka  shirika la  WWF kwa ajili ya shule na vituo mbalimbali vya kutolea huduma ndani ya Halmashauri.  Mantank hayo  yametolewa kwa upande wa Ikolojia ya Ziwa Natron (Tarafa ya Longido, Engarenaibor na Ketumbeine)  na Tarafa ya Enduimet. Mgawanyo  ni kama ufuatavyo;

1. Shule ya msingi Magadini  Tanki moja
2. Shule ya msingi Kiserian Tanki moja
3. Shule ya Sekondari Lekule tanki moja
4. Shule ya Sekondari Natron Flamingo tanki moja
5. Shule ya Sekondari Matale tanki moja
6. Zahanati ya Mundarara tanki moja
7. Zahanati ya Matale A Tanki moja
8. Ofisi ya Kijiji cha Kiserian Tanki moja


B: Kwa Upande wa Tarafa ya Enduimet, Mgawanyo ni kama ifuatavyo;
1. Shule ya Awali ya Kitendeni tanki moja
2. Shule ya Sinya tanki moja
3. Zahanati ya Olmolog  tanki moja
4. Olmolog Hosteli ya WMA Tanki moja
5. Kituo cha afya Olmolog tanki moja
6. Enduimet WMA Tourism Centre tanki moja
7. Jengo la Mama na Mtoto Ngereyani tanki moja
8. Zahanati ya Endoinyomali tanki moja.

DK. Mhina ameishukuru shirika hilo kwa  msaada waliyotoa na kuhaidi ushirikiano Zaidi kwa shirika hilo. 

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA LONGIDO SEKONDARI. July 05, 2022
  • KUITWA KWENYE USAILI March 11, 2022
  • MATOKEO KIDATO CHA SITA LONGIDO July 10, 2021
  • TANGAZO JIPYA LA AJIRA ZA MUDA KWA VIJANA LEO TAREHE 21-02-2022 February 21, 2022
  • View All

Habari Mpya

  • LONGIDO YAADHIMISHA SIKU YA UNYONYESHAJI.

    August 10, 2022
  • LONGIDO YAADHIMISHA SIKU YA UNYONYESHAJI.

    August 10, 2022
  • LONGIDO YAADHIMISHA SIKU YA UNYONYESHAJI.

    August 10, 2022
  • WAFUGAJI NA WAKULIMA WAIBUKA KIDEDEA NANE NANE

    August 08, 2022
  • View All

Video

Ujenzi wa madarasa 4 na Ofisi ya walimu shule shikizi Lopoloseki,
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Ufugaji
  • Elimu msingi Primary Education

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM