• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Miundombinu, Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mjjini
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Utawala na Usimamizi wa Rasimamli Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Utalii
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Leseni
    • Huduma za Utalii
    • Huduma za Mapato
    • Huduma zetu Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati ya Maadili ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Barua pepe za Idara na Vitengo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Kituo cha habari
      • Maktaba ya Picha
      • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
  • Vivutio
    • Mbuga
    • Ziwa

MKURUGENZI MTENDAJI AUKARIBISHA MWAKA KWA KUONGEA NA WATUMISHI WA HALMASHAURI

Posted on: January 2nd, 2018

MKURUGENZI MTENDAJI  AUKARIBISHA MWAKA 2018 KWA KUONGEA NA WATUMISHI WA HALMASHAURI.


Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Longido,Ndg.Jumaa Mhina Leo tarehe 02/01/2018  katika ukumbi wa halmashauri ameongea na watumishi wa halmashauri  na kuwapongeza kwa kufanya kazi kwa ushirikiano mkubwa hali iliyopelekea  mapato kuongezeka kulinganisha na miaka mingine , ufaulu wa darasa la saba kuongezeka, usimamizi wa miradi kuwa mkubwa,  na msukumo wa wananchi wanaojiunga na mfuko wa  bima ya afya wa CHF  kuwa mkubwa.


Aidha Mkurugenzi Mhina amemtaka mganga mkuu wa wilaya kuweka mikakati ya kina mama wajawazito kujifungulia katika hospitali.


 Vile vile  Mkurugenzi Mhina   amezungumzia kuhusu uchaguzi na amewataka watumishi wote kuwa na ushirikiano mkubwa katika shughuli za uchaguzi utakaofanyika tarehe 13/01/2018 na kuwaasa kutokuwa washabiki wa  chama chochote cha siasa.


Vile vile watumishi walipata nafasi ya kuzungumza machache, Mwl Mtera  alimshukuru Mkurugenzi  kwa kuona mchango wa watumishi na  kumhakikishia Mkurugenzi kuendelea  kumpa ushirikiano wa hali ya juu ,aidha amewaomba watumishi  kuwa na maadili mazuri katika utendaji wetu.


Mwisho Mkurugenzi alifunga kikao kwa kuwashukuru watumishi wote na kuwataka kufuata  maadili na kutokata tamaa na kikao cha leo kilikuwa cha kupongezana na kutiana moyo na kusema  kikao  kingine cha kusikiliza Kero za watumishi  kitafanyika mapema baada ya uchaguzi na  aliwakaribisha  watumishi wote chakula cha mchana kilichoandaliwa!  





Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WA UMMA April 12, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA May 15, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA June 25, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • View All

Video

MKUU WA WILAYA YA LONGIDO AUNGANA NA RC KIHONGOSI KWENYE JOGGING YA TANZANIA SAMIA CONNECT
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.