• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Miundombinu, Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mjjini
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Utawala na Usimamizi wa Rasimamli Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Utalii
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Leseni
    • Huduma za Utalii
    • Huduma za Mapato
    • Huduma zetu Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati ya Maadili ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Barua pepe za Idara na Vitengo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Kituo cha habari
      • Maktaba ya Picha
      • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
  • Vivutio
    • Mbuga
    • Ziwa

Mkutano wa Baraza la madiwani kuwasilisha taarifa za kata

Posted on: February 8th, 2018

Wajumbe wa Baraza la madiwani  wa halmashauri ya Longido wamefanya  mkutano wa kuwasilisha taarifa za kata za robo ya pili za kuanzia mwezi oktoba mpaka disemba 2017, Mkutano huo ulifanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa halmashauri hiyo.


Mkutano huo umehudhuriwa na madiwani wa kata 16 kati ya 18  katika wilaya  ya Longido, Wakuu wa idara na vitengo na wadau   mbalimbali   kutoka halmashauri ya wilaya ya Longido


Madiwani hao waliweza kuwasilisha  taarifa hizo wakiwa wameeleza mafanikio  na changamoto wanazokumbana nazo katika nyanja za elimu, kilimo, ufugaji,  utekelezaji  wa miradi ya maendeleo , utunzaji wa mazingira ,kiuchumi na afya.


Hata hivyo baadhi ya changamoto zilizo bainishwa ni  pamoja na utoro, upungufu wa madarasa ,nyumba  za watumishi, mabweni, maabara, uhaba wa malisho, usafiri , maji safi na salama, madawati,vitendea kazi kwenye ofisi za umma.


Vilevile  Katibu Tawala wa wilaya  ya Longido  ndg. Toba  Nguvila alipata nafasi ya kuongea machache na  amesisitiza  baadhi ya mambo muhimu kama  ugawaji wa fedha za TASAF kwa wasio na sifa, zoezi la kuweka ng'ombe  chapa isimamiwe kwa makini, agizo la rais john pombe magufuli la kupiga marufuku  kutoza mchango wowote kwa wanafunzi  kwa ajili ya elimu, uhakiki wa watoto kwenda shule na madiwani  kushiriki kwenye vikao husika.  


Hivyo basi mkutano huo uliweka mikakati ya kutekeleza mipango ili kutimiza malengo.

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WA UMMA April 12, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA May 15, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA June 25, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • View All

Video

MKUU WA WILAYA YA LONGIDO AUNGANA NA RC KIHONGOSI KWENYE JOGGING YA TANZANIA SAMIA CONNECT
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.