Halmashauri ya Wilaya ya Longido katika mwaka huu wa fedha 2017/2018 imepokea magari mawili kutoka serikalini kwa ajili ya kutolea huduma za Afya ikiwa ni ahadi ya serikali ya awamu ya tano katika sekta ya afya.
Magari hayo aina ya Futon-Tuland Double Cabin lilitolewa kwa ajili ya shughuli za Chanjo na gari la kubebea Wagonjwa aina ya Suzuki. Kupatikana kwa magari haya kutaimarisha utoaji wa huduma za Afya kwa Jamii ya Wilaya ya Longido
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM