Baraza la madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Longido Leo tarehe 9/9/2022 limewasilisha Taarifa za kata kwa robo ya nne ya Mwaka wa fedha 2021/2022 ikiwa ni kikao Cha kwanza kwa vikao vitakavyoendelea kesho tarehe 10/09/2022.
Taarifa hizo zimejikita kwenye sekta ya Afya,Elimu,Maji na Barabara.
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM