Taasisi ya Tanzania Chambers of Commerce Industries and Agriculture (TCCIA) kwa kushirikiana na (TRIAS Maisha bora) wametoa mafunzo kwa vikundi kazi vya biashara katika Sekta ya Mifugo ili kuongeza mnyororo wa Thamani (Nyama) Wilayani Longido.
Mafunzo hayo yamefanyika kwa muda wa siku mbili kuanzia tarehe 21 hadi 22 Mei mwaka huu, katika ukumbi mdogo wa mikutano katika Halmashauri yaliyowakutanisha wafanyabiashara wa Mifugo na Wataalamu kutoka Idara mbalimbali za Halmashauri (Kikundi kazi Wilaya yaLongido) na kujadili mambo mbalimbali.
Akizungumza katika mafunzo hayo mshauri wa biashara kutoka TRIAS Maisha bora Lilian Makoy amesema lengo kuu la mafunzo hayo ni kanzisha na kujenga kikundi kazi kwenye maeneo mawili:-
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM