• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Miundombinu, Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mjjini
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Utawala na Usimamizi wa Rasimamli Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Utalii
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Leseni
    • Huduma za Utalii
    • Huduma za Mapato
    • Huduma zetu Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati ya Maadili ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Barua pepe za Idara na Vitengo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Kituo cha habari
      • Maktaba ya Picha
      • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
  • Vivutio
    • Mbuga
    • Ziwa

WATOTO WAPATIWA DAWA ZA KUTHIBITI MINYOO YA TUMBO

Posted on: November 24th, 2022

Halmasahauri ya wailaya ya Longido lei tarehe 24/11/2022  imetekeleza agizo la Serikali ya awamu ya sita la  kuwataka watoto wote kaunzia miaka mitano hadi kumi na nne wanapewa dawa aina ya Albendazole kwa ajili ya kuzuia minyoo ya tumbo amabayo imekuwa tishio kwa watoto wengi nchini Mkurugenzi wa halamsahauri ya wilaya  ya Longido ndugu Stephen Ulaya alifungua mafunzo ya utekelezaji wa zoezi hilo mnao tarehe 23 Novemba  kwenye ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Longido na baadae zoezi la utekelezaji wa ugawaji wa dawa za kudhibiti minyoo kufanyika katika shule zote za msingi zilizopo ndani ya Halmashauri ya wilaya ya Longido ambako takribani watoto wote wenye umri kuanzi miaka mitano hadi kumi na nne wamepatiwa dawa hizo ili kuzuia magonjwa yote yanayotokana na minyoo ya tumbo

  Zoezi hili ambalo limekuwa likifanyika mara kwa mara likiwa limelenga hasa kuondoa na kuthibiti magonjwa mbali mbali yanayotokana na minyoo ya tumbo ambayo yamekuwa yakileta madhara makubwa hasa kwa ukuaji wa mtoto pamoja na kumfanya mtoto kupoteza hamu ya kula kupungua uzito hususani na kuvimba sehem mbali mbali ya mwili hususani tumbo baadae kupelekea hata magonjwa ya ini na mengineyo

  Nae Dr Selemani Mtenjela mkuu wa kitengo cha Afya, Lishe na Ustawi wa jamii amewaomba wazazi kutokuwa na imani potofu juu ya dawa hizo na kuwataka wazazi wawaruhusu watoto kupewa dawa hizo kwa ajili ya kuimarisha Afya zao, Dr Selemani amesema dawa hizi ni salama na ni maalumu kwa ajili ya kuthibiti magonjwa yatokanayo ma minyoo ya tumbo

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WA UMMA April 12, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA May 15, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA June 25, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • KAMATI ZA MTAKUWWA ZAIMARISHWA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NAMANGA

    August 22, 2025
  • View All

Video

MKUU WA WILAYA YA LONGIDO AUNGANA NA RC KIHONGOSI KWENYE JOGGING YA TANZANIA SAMIA CONNECT
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.