Posted on: December 2nd, 2024
Na Happiness Nselu
Longido, Arusha - Viongozi wapya wa serikali za mitaa katika Wilaya ya Longido wameapishwa rasmi leo katika hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ...
Posted on: November 20th, 2024
Na Happiness E Nselu
Katika juhudi za kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi, Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Longido imekabidhi pikipiki nne kwa maafisa wa Idara...
Posted on: November 19th, 2024
Na Happiness Nselu
Shirika la Hifadhi ya Wanyamapori Tanzania (TPW) limeanzisha mpango mkakati wa kutoa mafunzo kwa jamii katika vijiji vya Kimokouwa na Eworendeke wilayani Longido, kwa le...