Posted on: June 19th, 2023
Mheshimiwa Henry Marko Ng'umbi Mkuu wa Wilaya ya Longido amefungua kikao cha kikanuni cha wadau wa Maendeleo NGO'S na CBO leo tarehe 19/06/2023 katika ukumbi wa J. K Nyerere Longido
Kikao ...
Posted on: May 29th, 2023
Shirika la kikistro lisilo la kiserikali la CONVOY OF HOPE(COH) limetoa msaada wa chakula kiasi Cha Tani 50 na Maharage Tani 18 Kwa ajili ya kaya zilizo athirika na ukame katika vijiji vya Emurtoto, L...
Posted on: May 9th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Longido Mheshimiwa Marco Henry Ng'umbi amefungua rasmi kikao cha maelekezo ya utekelezaji wa mradi wa Boost unaofadhiliwa na Bank kuu ya Dunia leo tarehe 9 may 2023 katika u...