Posted on: June 15th, 2018
Uongozi wa Wilaya ya Longido unawatakia waislam na watanzania wote sikukuu njema ya iddi,
Inawaomba msherehekee kwa amani na utulivu....
Posted on: June 7th, 2018
Ujenzi wa Mradi wa Kituo cha Afya Eworendeke unaendelea vizuri uko kwenye hatua ya upauaji bati majengo sita yameshapauliwa.
Majengo hayo ya Maabara,jengo la OPD, jengo la upasuaji ,Moc...
Posted on: May 30th, 2018
Shirika la maendeleo ya jamii HEIFER Tanzania International leo tarehe 30/6/2918 limekabidhi madume 70 aina ya boran kwa uongozi wa Wilaya ya Longido.
Akizungumz...