Posted on: October 31st, 2018
Halmashauri ya wilaya ya longido Leo tarehe 31/10/2017 imetoa mkopo usio na riba wa fedha za kitanzania sh.42,630,000/- kwa vikundi kumi na moja vya kina mama, vijana na walema...
Posted on: October 2nd, 2018
Halmashauri ya Longido leo tarehe 02/10/2018 imeanza zoezi la kuhuisha fedha za Mpango wa Kunusuru kaya Masikini zinazotolewa na serikali kupitia mradi wa TASAF awamu ya III kwa wanufaika ...
Posted on: September 16th, 2018
Kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa 2018 Ndg. Charles.F.Kabeho alitembelea miradi sita ya maendeleo tarehe 15/09/2018 . Baadhi ya miradi imewekwa jiwe la msingi, kufunguliwa , kutembelewa na kuzinduliw...