Posted on: May 24th, 2018
Halmashauri ya Longido leo tarehe 24/05/2018 imeanza zoezi la kuhuisha fedha za Mpango wa Kunusuru kaya Masikini zinazotolewa na serikali kupitia mradi wa TASAF awamu ya III kwa wanufaika ...
Posted on: May 17th, 2018
Katika kuunga mkono juhudi za serikali katika ukusanyaji mapato shirika la GIZ kupitia mradi wa uboreshaji mapato limetoa POS (Point of sale machine) 12 na power bank 12 ili zisaidie ukusanyaji ...
Posted on: May 17th, 2018
Chama cha ushirika cha usafirishaji cha Kimana SACCOS kinachofanya biashara ya usafirishaji wa abiria na mizigo katika barabara kuu ya arusha Namanga leo Tarehe 17.05.2018 wamemkabidhi mkuu wa wilaya ...